Friday, February 25, 2022

JESHI LIPINDUE SERIKARI UKRAIN ASEMA PUTIN

 

Rais wa Russia, Vladimir Putin amelitaka jeshi la Ukraine kuondoa uongozi uliopo madarakani wa Rais Volodymyr Zelensky huku akiutuhumu kuwa wa kigaidi na genge la watumiaji wa dawa za kulevya

Putin amewashtumu raia wa Ukraine kwa kutuma vifaa vya kivita kwenye makazi ya watu na miji mikubwa ikiwamo Moscow hali inayotishia usalama na kuongeza hofu.

Tuhuma hizo huenda zikaleta hali ya hofu huku ikidaiwa kuwa Urusi inazitumia kama sababu ya kuua raia wa Ukraine.

Zaidi ya watu 100 wauawa Ukraine

Ukraine imesema kuwa zaidi ya watu 100 wameuawa hadi sasa katika uvamizi wa Russia, huku mapigano yakienea kote nchini na vikosi vya Russia vikisonga mbele kuelekea mji mkuu, Kyiv.

Friday, November 12, 2021

Kipato cha ziada unawezatengeneza zaidi ya milioni

 Reposted from @mshaurikhalifa Njia rahisi ya kuingiza Milion na zaidi kwa mwezi kutumia muda wako wa ziada ukitoka Darasani. 


Hakuna kitu kinakera kama kukosa pesa mfuko. 


Hali hii imepelekea wanafunzi wengi kutamani kumiliki biashara lakini hawajui waanzie wapi, 


na cha kusikitisha zaidi waliomaliza shule hawajapata ajira na miaka inazidi kukata. 


Kubwa kuliko wengi wapo mtaani na hawana shuhuli maalum ya kuwaingizia kipato. 


Wengine waliopo chuoni wamechoka kuomba pesa ya vocha, sabuni, nguo na baadhi ya mahitaji kwa wazazi au walezi wao kila mwezi. 


Kibaya zaidi wachache waliopata kuhitimu na kupata ajira mshahara ni mdogo kuliko matumizi. 


Kama wewe ni miongoni mwa Hao na ungependa kumiliki mfumo utakaokuingizia angalau hata million moja kwa mwezi basi huenda Habari hii ni muhimu kwako.


Najua changamoto unazopitia na mimi nilishapita hukohuko ila nilichogundua ukitumia muda wako wa ziada vyemau kiwa chuoni unaweza kukuingizia pesa nyingi Sana na kubadili maisha yako ya chuoni na baada ya chuo. 


Na uzuri ni kwamba kitu hiki unaweza kukifanya popote hata nyumbani kwako Tena kwa kutumia tu simu yako.


je upo tayali kujifunza kitu hiki? 


kama unahitaji kuingiza milioni ya ziada muda wako wa ziada save number yangu 0759657574


kisha nitumie ujumbe ukisema...


"Nahitaji kujifunza kuingiza million kwa kutuma simu yangu"


baada ya kuupokea ujumbe huo nitafanya taratibu zote za haraka kupata mafunzo haya ana kwa ana. 


fanya hivyo sasa hivi.  

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...